
leteipa the king - mwambie كلمات أغنية
verse 1
nimechoka k_meza mate, wenzangu wakila nyama
nachotamani anipakate
awe mitchele niwe obama
siku hizi nimewa chizi
kila muda nafikiria
kile mi nitampatia aingie kwa box
anajifanya busy
hataki kunisalimia, anadhani ntamtumia nimtupe kwa choo
hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie
chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu
verse 2
natamani niwe yake simu, anifinye kila saa
awe stude niwe mwalimu iwe lazma aniite sir
huwa nahisi wivu , rafiki wakimk_mbatia, wakati sinawahi msalimia nakanyaga kivuli
na nina maumivu, natamani k_muambia, ila mashindwa vile ntaanzia ameweka kifuli
hook:
mwambie ntafanya chochote ili anikubalie
ntaacha dawa na pombe ili afurahie
ntaenda sunday kanisa sadaka nimlipie
nitajifanya sofa aje anikalie
chorus
(aeaeaeaaah) mwambie sitaki mwingine
(aeaeaeaaah) ni yeye tuuu
(aeaeaeaaah) nitampa chochote pengine
(aeaeaeaaah) hata nimpeleke majuu
كلمات أغنية عشوائية
- devito - bebe كلمات أغنية
- augustinethe2nd - to be loved كلمات أغنية
- jack flama - tu recuerdo كلمات أغنية
- captaine roshi - 9 كلمات أغنية
- kvelertak - discord كلمات أغنية
- yoke lore - sensitive heart كلمات أغنية
- saiko - majestad كلمات أغنية
- a boogie wit da hoodie - luv is art كلمات أغنية
- duke bootee - who dat كلمات أغنية
- kim dong-hyun - more (더 더) كلمات أغنية