kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

leteipa the king - baki na mimi كلمات الأغنية

Loading...

verse 1
ni vampk 254. mhhhhh
kukutazama, ukitabasamu
nikama kuwatch movie za afro, siwezi boeka
we ndo kitabu, mi ndo kalamu
niliumbwa kwa ajili yako, kama masai na rubeka
ninatamani ningewa yako mavazi
nikusitiri nikuguse kila wakati
ungewa stew ama kasupu ka mbaazi
ningewa sembe mokimo ama chapati

hook
baki na mimi kipenzi, nikushughulikie
kila asubihi, nirauke, ili nikupikie
nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie
kamba za viatu babe, mi nikufungie

chorus
(baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani
(ooh baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama
(baki na mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani
(ooh baki na mimi) ukisota ntaiba , utapona nna tiba mamaa

verse 2
nakama ungewa, mwanasiasa,ninge piga kampeni zako
nikusifie, kwa giza na mw_ngaza, mpaka kwa maadui zako
nitakubusu bila woga hadharani
ili wajue wewe ndo w_ngu mwandani
ungewa kijiko lazma ningewa sahani
kututenganisha hilo haliwezekani
hook
baki na mimi kipenzi, nikushughulikie
kila asubihi, nirauke, ili nikupikie
nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie
na ukichoka,nikubebe, wivu wasikie

chorus
(baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani
(ooh baki namimi) nitakonda utavimba , utakopa ntalipa mama
(baki na mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani
(ooh baki na mimi) ukisota ntaiba , utapona nna tiba mamaa

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...