
lbk nandeboy - pesa كلمات أغنية
(hook)
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa inafanyaka pesa
(verse 1)
pesa inafanyaka pesa invest ngodo ndoupate ku do
tumiya calcul vizuri hesabu isije kipiga judoc
kuna ma gang kuna wahuni
wasije kupiga nyondo
pole pole ndiyo mwendo
moja by one makes a bundle
tena bilapesa haunusi upendo
nduguzako hawakuskii lukando
yes sijuwi pesa chafu
ila minamujuwa deal chafu
nandiyomaana minakula tu minofu
(pre hook)
bila hela sikupee collabo
bila hela sikupee collabo
bila hela sikupee collabo
bila hela sikupee collabo
bila hela sikupee collabo
bila hela sikupee collabo
bila hela sikupee collabo
bila hela sikupee collabo
(hook)
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa
(verse 2)
yes bilapesa hausaminiki
hatakama wee mwanamuziki
keep fake it till you make it real
bilapesa hawakujali
ye pesa inafanyaka pesa atali na sente tafumita lindazi
pesa inafanyaka pesa tumika vizuri watakuita mu doz
ye juwa pesa sabuni rohoo
bila hela sipande show
yes no free entrance napo chana
n_z_tafuta kama obama
ukiwa na pesa watakupa heshima
watakuona una hekima hatakama haujasoma ahaaa
make it make sense
towa hits pata force
make it make sense
towa hits pata force
ahaaa…,
(hook)
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa inafanyaka pesa
(bridge)
bilahela sikupee collabo
bilahela sikupee collabo
bilahela sikupee collabo
bilahela sikupee collabo
bilahela sikupee collabo
bilahela sikupee collabo
bilahela sikupee collabo
bilahela sikupee collabo
(hook)
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa
pesa inafanyaka pesa pesa inafanyaka pesa
كلمات أغنية عشوائية
- will jay - talking to myself كلمات أغنية
- chikili tubbie - ¿y si hacemos tijereta? كلمات أغنية
- digital ghost - the secret you’re keeping كلمات أغنية
- savannah - nowhere to be found كلمات أغنية
- the dirty nil - so busted كلمات أغنية
- consumed by vultures - canto ix. gli occhi dei divini كلمات أغنية
- tramando ideia rap - pixação كلمات أغنية
- d'arcy spiller - what in hell كلمات أغنية
- mushroomhead - another ghost كلمات أغنية
- schlussakkord - der tiefste punkt كلمات أغنية