lava lava - single كلمات الأغنية
miaka ishirini na tatu sasa lava nimekuwa si mtoto tenaa
shapitia mingi mikasa na nimeshajua lipi baya na jemaa
wazazi wanauliza kutwa wanapanda juuh
laiti kabla hawajakufa waone wajukuuu
na mitandaoni kukikucha mashabiki
buuuuhh. mbona unatuyeyusha vp shemeji?
we ndo kipenzi cha walimbwende tunaona insta yako dm imenona
unapenda wadada kila kona tunaona
tunaona
uwe na show nachingwea musoma
wanakuuja kwa wingi mbonaa
na mabusu unapigwa tunaona, tunaonaaahh mpaka un-z-mia vipi?
nipo single, wanauliza vip?
nipo single, wanauliza vip?
nipo single eeeh wanauliza vip?
eehee mbona niko single
mashabiki wengine visirani hawana dogo
wakikuandama jamani, kukuzodoa zodoo etiii
mw-ngalie rayvan yake mikogoo
anaringa na mama jaydan hawataki shobo eehe
na wengine uniambia jogoo hapandi mtungi ona wakina rukia na kina
mboso kirungi, achaga masiara harmonize anajimwaga na sarah
mmmhh jitahidi tafadhali upate yeyotee
kaza usiwe fala zichange hizo gwalagwala mmiliki hamisa na zari ka
chibu dangote, we ndo kipenzi cha walimbwende tunaona insta yako dm
imenona, unapendwaa wadada kila kona tunaona
haah uwe na show nachingwea musoma wanakuuja kwa
wingi mbona na mabusu unapigwa tunaona, tunaona
mpaka un-z-mia vipi
niko singe.wanauliza vipi?
niko single, wanauliza vipi?
niko single eehh wanauliza vip?
eeehh mbona niko single
كلمات أغنية عشوائية
- marleexthemic - divine كلمات الأغنية
- jello biafra & the guantanamo school of medicine - mid-east peace process كلمات الأغنية
- yung swiss - jungle كلمات الأغنية
- street 8 - me paga na $eda كلمات الأغنية
- elsone swift - № 2-0-1-7 كلمات الأغنية
- the riversiders - homesick كلمات الأغنية
- gabriela rocha - meu coração é teu / pra te adorar كلمات الأغنية
- szjerdene - restart كلمات الأغنية
- mélodie lauret - 23h28 كلمات الأغنية
- iman chakraborty - bhromor koyo giya كلمات الأغنية