kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava - lava lava - utatulia كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1]
kiangazi masika ukiichanganya
vyote vikashuka kw-ngu vitanielemea
ntakosa pa kushika ntavavanya
wewe ndo mwandani w-ngu nliokuzoea
ntunza vyangu visiri mwenye kunisitiri
fundi mitambo
kinga yangu ya mwili usiyelipa bili
kuchoma changu
simtaki kafiri jangiri mwingi wa mambo
moyo akaukatilli
nikondeshe mwili
ajifanye rambo

[bridge]
si unajua
dalili ya mvua mawingu
ikitaka kunyesha
huwa yanatanda
nami si unanjua aah!
nimeumbwa na wivu
kidogo tu presha
yanshuka yapanda
niahidi kama

[chorus]
utatulia aaah!
baby
niahidi kama (utatulia aaah!)
hhhmm
nisibaki nkashika tama
utatulia aaah!
baby
niahidi kama (utatulia aaah!)
hhhmm
wasiniibie cha ngama

[verse2]
maneno yangu si biblia wala masaafu
useme usibadili (hhhmm)
jichunge kipenzi changu
unanisikia usicheze rafu
yatimie waliotabiri
usijifanye ronaldinho
penzi utie mbwembwe
utahaaribu
visokolokwinyo
wakupitie denge kukujaribu
kina capachino wakakutia wenge kwa vizabibu
wakugongeshe mvinyo
ukaota mapembe iwe aibu

[bridge]
si unajua
dalili ya mvua mawingu
ikitaka kunyesha
huwa yanatanda
nami si unanjua aah!
nimeumbwa na wivu
kidogo tu presha
yanishuka yapanda
niahidi kama

[chorus]
utatulia aaah!
baby
niahidi kama (utatulia aaah!)
hhhmm
nisibaki nkashika tama
utatulia aaah!
baby
niahidi kama (utatulia aaah!)
hhhmm
wasiniibie cha ngama

[outro]
eeeh eh
yani kama ukitulia tulia
sitathubutu macho kupepesa
ukitulia tulia
ukinipa kiduchu nitatosheka
kama ukitulia tulia
sitofwata nguruchu niende teseka
ukitulia tulia
eeeh eh
nami ntatulia

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...