kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lava lava - inamana كلمات أغنية

Loading...

inamana lyrics by lava lava

#verse

inamana sitoiona tena sura yako

inamana sitoziona tena simu zako

inamana stopata tena muda wako

inamana kweli umesema nsiwaze juu yako

#bridge

inamana zile message za makopakopa utumi tena

inamana yani kabisa umenichoka ndo kusema

inamana hata kwa rafiki zako nsipige umeweka ukuta

inamana nisijaribu nsidiriki hata kukutafuta inamana

#chorus
ndo ushachukuliwa

ndo ushachukuliwa (kabisa umekwenda)

ndo ushachukuliwa (umeniacha daa!!)

ndo ushachukuliwa (nimebaki solemba)

#verse

nilimaliza kurasa kujifunza mapenzi

maktaba ufundi udansa mihodari mkwezi si haba

ukasema mi mlango kitasa

we utanishikilia bawaba

k_mbe mwana siasa

j_po umenikaidi sina jinsi

atanilipa maulanaa

we enjoy faidi na walonizidi
najua mambo ya ujanaaa

aaahh!

#bridge

inamana zile message za makopakopa utumi tena

inamana yani kabisa umenichoka ndo kusema

inamana hata kwa rafiki zako nsipige umeweka ukuta

inamana nisijaribu nsidiriki hata kukutafuta inamana

#chorus

ndo ushachukuliwa

ndo ushachukuliwa (kabisa umekwenda)

ndo ushachukuliwa (umeniacha daa!!)

ndo ushachukuliwa (nimebaki solemba)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...