kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - wanaume kama mabinti lyrics

Loading...

[chorus: lady jaydee]
mnakula, kunywa na kuvaa
siku zinaenda
vya bure hupenda kupewa
wala hamna fikira
kila upande mna fit
siku zinaenda
vinywa vimejaa ufitini
wanaume kama mabinti

[verse 1: lady jaydee]
ninapo sema wanaume
si maanishi wote
ila wale wenye tabia
kama za mabinti
utawaona kwenye magari
ya mademu zao
wakitanua, na kucheka, ‘utadhani yao
hupenda kuwaliwaza wamama watu wazima
hawana mapenzi ya kweli, moyoni wanawaza pesa
nikisema wanajiuza ‘katu sito kosea
tuwatofautishe ‘je?
hawa na machangudoa
ah

[chorus: lady jaydee]
mnakula, kunywa na kuvaa
siku zinaenda
vya bure hupenda kupewa
wala hamna fikira
kila upande mna fit
siku zinaenda
vinywa vimejaa ufitini
wanaume kama mabinti
[verse 2: mwana f.a. & lady jaydee]
sema, sema, sema
haki yako jaydee
tembo kuvaa [vipusa] ni halali
haki yako zai dee
siwezi danganya ‘sina upendo, pande mlipo
‘marafiki, ndugu wa mwisho wa wiki
hatuwezi kuwa washkaji kama una moyo wa plastic
ambwene aliona usoni kama watu
(usoni kama watu, moyoni unafiki mtupu)
moyoni unafiki mtupu
sio ku_party, sio kuvaa
tegemezi mpaka mkwanja wa condoms
kufahamu hii ni simple zaidi ya k_mnyatia kiziwi
wanaume gani hamuelewi, milupo ya kiume
nataka muache kutazama, hadi nataka muone
najidanganya mwenyewe na inakolea zaidi ya mnavyo danganya wengine
sizuii msifanye mfanyayo
tunafikiri kwa ubongo sio kwa nyayo
[inshallah, inshallah] kibao
bila maisha kuyafata mbio, ujinga huo
kusanya mawazo yenu na naacha mungu awahuk_mu
binamu

[chorus: lady jaydee]
mnakula, kunywa na kuvaa
siku zinaenda
vya bure hupenda kupewa
wala hamna fikira
kila upande mna fit
siku zinaenda
vinywa vimejaa ufitini
wanaume kama mabinti
[verse 3: lady jaydee]
ukiwa kuta kwenye vikao
ooh, vya pombe
eti wao wasemaji, wanaojua yote
hawatoi hata senti, ‘yao kulipa bili
ikifika zamu yao, huenda msalani
kwa ukuwadi namba moja wao hupenda
wanaopenda kuwaliwaza mademu wa wenzao
shoga zangu hebu leteni magauni tuwavishe
hijabu tuwafunge, na vimini, vi_top, ‘tuwaazime

[chorus: lady jaydee]
mnakula, kunywa na kuvaa
siku zinaenda
vya bure hupenda kupewa
wala hamna fikira
kila upande mna fit
siku zinaenda
vinywa vimejaa ufitini
wanaume kama mabinti

[verse 4: lady jaydee]
umeona wapi mwanaume kunyweshwa pombe?
hivi tangu lini, dume zima likasutwa?
umesikia ya jana?
hassani naye kaja kitchen party
mwashangaza
[chorus: lady jaydee]
mnakula, kunywa na kuvaa
siku zinaenda
vya bure hupenda kupewa
wala hamna fikira
kila upande mna fit
siku zinaenda
vinywa vimejaa ufitini
wanaume kama mabinti

[chorus repeat: lady jaydee]
mnakula, kunywa na kuvaa
siku zinaenda
vya bure hupenda kupewa
wala hamna fikira
kila upande mna fit
siku zinaenda
vinywa vimejaa ufitini
wanaume kama mabinti

(instrumentals)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...