kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - tufurahi lyrics

Loading...

mmm
nimeshachumia juani
nalia kivulini
silaha pesa mkononi
oh, yeah

biashara asubuhi, subuhi
mahesabu jioni
maswali ya nini?

hapa tuna toa, tunaweka (waiter)
tunaweka, tuna toa (leta bill)
tuna andika, tuna futa
tuna_
eh, eh (hey)
hapa tuna toa, tunaweka (waiter)
tunaweka, tuna toa (leta bill)
tuna andika, tuna futa
tuna_
eh, eh (hey)

tufurahi
tufurahi
tufurahi
sote
tufurahi
tufurahi
tufurahi
sote
dunia hii tunapita tu
hasara roho ‘pesa makaratasi
heshimu kila mtu
enjoy your life

hey!

niende wapi, nibaki wapi?
naona time bado
usiku huu mi silali
iih, ihh
hasira yangu kuzitafuta
ili nitumie
(hey)
kibubu cha nini
acha nikipasue

hapa tuna toa, tunaweka (waiter)
tunaweka, tuna toa (leta bill)
tuna andika, tuna futa
tuna_
eh, eh (hey)
hapa tuna toa, tunaweka (waiter)
tunaweka, tuna toa (leta bill)
tuna andika, tuna futa
tuna_
tufurahi
tufurahi
tufurahi
sote
tufurahi
tufurahi
tufurahi
sote

(instrumentals)

hapa tuna toa, tunaweka
(waiter)
tunaweka, tuna toa
(leta bill)
tuna andika, tuna futa
tuna_
eh, eh
hey!
hapa tuna toa, tunaweka (waiter)
tunaweka, tuna toa (leta bill)
tuna andika, tuna futa
tuna_

hey!

hey!

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...