lady jay dee - qualify كلمات الأغنية
Loading...
[verse 1: rama dee]
mpenzi ume qualify
kuwa nami
tena bila vyeti
wewe ndio my favourite
mali yangu, weh
kuna mengi
[pre_chorus: rama dee]
maisha
ya sasa
ni vita
na mikasa
maisha
ya sasa
ni vita
na mikasa
[chorus: rama dee]
mpenzi
mpenzi
kw_ngu ume qualify
mpenzi
kw_ngu ume qualify
oh, oh, ai
[verse 2: lady jaydee]
kw_ngu ume qualify
ya dunia mapenzi
dunia mapenzi
wewe ndio my favourite
mali yangu, weh
kuna mengi
[verse 3: lady jaydee & rama dee]
huyalazimishi mapenzi
(huya, huya)
hunifananishi na wezi
(homa, homa)
hunidhalilishi mpenzi
ume qualify
[chorus: rama dee]
mpenzi
mpenzi
kw_ngu ume qualify
mpenzi
kw_ngu ume qualify
ooh, ai
kw_ngu ume qualify
mpenzi
kw_ngu ume qualify
ooh, ai
(instrumentals)
كلمات أغنية عشوائية
- kojo funds - who am i? كلمات الأغنية
- il divo - love me tender كلمات الأغنية
- kojo funds - where the party at كلمات الأغنية
- ugly god - xxl freshmen 2017 cypher كلمات الأغنية
- yedê şakirî - diro كلمات الأغنية
- marianas trench - here's to the zeros كلمات الأغنية
- aztbm - don't go! كلمات الأغنية
- david vitela - honeybee كلمات الأغنية
- wjsn - you get كلمات الأغنية
- bladee - plastic surgery كلمات الأغنية