kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - nyumbani كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
(daxo wa chali)

unanipendezea ‘nnapo tembea
ukitabasamu
mi napata raha, unanivutia ukiniangalia
dunia yangu ‘ina kamilika
uwapo tu ‘hapa nyumbani

nikisema ni wewe
elewa ni wewe
unae nipa kiwewe
hapa nyumbani

nilia po nyumbani
(ai, ai, mama we)
niketi po chumbani
(ai, ai, mama we)

najionea, najihisia
najionea (nyumbani)
najionea
mahaba tu, nyumbani
najionea, najihisia
najionea (nyumbani)
najionea
mahaba tu, nyumbani
siichoki sura yako
nalo tamu penzi lako
nzuri sauti yako, na ucheshi wako
safari yangu kwako
penzi langu ni lako
maisha yangu ‘ya kwako
ya kwako tu
kwako tu
hapa nyumbani

nikisema ni wewe
elewa ni wewe
unae nipa kiwewe
hapa nyumbani

nilia po nyumbani
(ai, ai, mama we)
niketi po chumbani
(ai, ai, mama we)

najionea, najihisia
najionea (nyumbani)
najionea
mahaba tu, nyumbani
najionea, najihisia
najionea (nyumbani)
najionea
mahaba tu, nyumbani

(ai, ai, mama we)

(ai, ai, we)
najionea, najihisia
najionea (nyumbani)
najionea
mahaba tu, nyumbani

nyumbani
nyumbani

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...