lady jay dee - ndoto yangu كلمات الأغنية
[verse 1: lady jaydee]
kila ninacho ona
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
kila nilicho omba, ah
ni ndoto yangu
kila hatua niliofikia
ni ndoto yangu
…
[verse 2: rama dee]
kila kiu yangu, eh
wewe ndio yangu champagne
you’re the one i love, yeah
ndoto yangu, nilale
[verse 3: lady jaydee]
you’re my one and only
hakika, kituo ni hapa
hujanifanya nikonde
nanenepa ukiwa hapa
[pre_chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[hook: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
[verse 4: rama dee]
tulitembea pamoja
kuif_kuzia hii ndoto
tulipigana pamoja
kuikaribia hii ndoto
tuliamini, amini
tukakubaliana
mi nawe
ndoto yangu, ndoto yako
ndoto yako, ndoto yangu
mafanikio tuliyo nayo
si bahati, ni mipango
baby
[pre_chorus: lady jaydee]
kila hatua
mwisho wa ndoto ni hapa
mola anajuwa
you’re my one and only
[chorus: lady jaydee]
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
ndoto yangu
mimi kuwa nawe, we
nafsi yangu
mi kuwa nawe, we
[outro: lady jaydee & both]
you’re my one and only
usinifanye nikonde, hey
كلمات أغنية عشوائية
- wes patrick - oopsie كلمات الأغنية
- starfish (singer) - weightless كلمات الأغنية
- marina city - youth كلمات الأغنية
- alexandria corn - back together again كلمات الأغنية
- daduc - sao em không rep? كلمات الأغنية
- sendflowrs - killer, pt2 كلمات الأغنية
- kote - waterproof كلمات الأغنية
- majesteleri - radikal كلمات الأغنية
- xerd - don't like the lies كلمات الأغنية
- -m- (fra) - dans le living كلمات الأغنية