kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - na iwe كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
[?]

[verse 1: lady jaydee]
utokapo na uingiapo
na uendapo, ah ooh
baraka n_z_kufate
kila uendapo
uketipo, usimamapo na ulalapo
ah, ooh

[pre_chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe

[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)
[verse 2: lady jaydee]
mibaraka tunapokea
tunashukuru sana
kutuinua na kutupenda
unatupenda sana
mw_ngaza na kupwa
nuru twaiona njiani
tusimame, tukusifu

[pre_chorus]
na iwe
na iwe
na iwe
na iwe

[chorus]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwe
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)

[verse 3: maunda zorro]
umeonyesha upendo wako
juu yetu
ukafanya neno liwe njia
kati yetu
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
maisha yetu, baraka zako, wewe baba
nitakusifu, kukuabudu daima
[pre_chorus: maunda zorro]
na iwe
na iwе
na iwe
na iwe

[chorus: maunda zorro & lady jaydee]
na iwe (ooh)
siku ya baraka
na iwе
siku ya amani
na iwe (ooh)
siku ya upendo
na iwe
(na iwe)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...