kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - matozo كلمات الأغنية

Loading...

[intro: rama dee]
(and the_)
you’re on my mind
ooh

[verse 1: lady jaydee]
elewa mwanzo wa kiapo
kipaombele
penzi lenye matozo
lina maumivu
akili yetu sio ndogo
na uzuri hatuna fear, love
oh, oh, kadogo
mpenzi

[chorus: lady jaydee]
nimezama kwenye wimbi la mapenzi
sweet love
na vikoba havitutishi
hatupitishi, weak love
nimezama kwenye wimbi la mapenzi
sweet love
na vikoba havitutishi
hatupitishi, weak love

[verse 2: rama dee]
manung’uniko nami sina tena (oh, sina)
ukali w_ngu, ndio basi weh
mtoto mzuri njema, njema
unijia nikiwa nawe
mpenzi, oh love
nafsi isiwe na maradhi
kipenzi, ‘ona
habari zetu ziwafikie
[chorus: lady jaydee]
nimezama kwenye wimbi la mapenzi
sweet love
na vikoba havitutishi
hatupitishi, weak love
nimezama kwenye wimbi la mapenzi
sweet love
na vikoba havitutishi
hatupitishi, weak love

[hook]
akili yetu sio ndogo
na uzuri hatuna fear, love
oh, oh, kadogo
mpenzi

[chorus: lady jaydee]
nimezama kwenye wimbi la mapenzi
sweet love
na vikoba havitutishi
hatupitishi, weak love
nimezama kwenye wimbi la mapenzi
sweet love
na vikoba havitutishi
hatupitishi, weak love

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...