kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - mambo matano كلمات الأغنية

Loading...

[intro]
[?music]

[verse 1]
n_z_ alitia kwenye chai
ghafla disko likaingia maasai
k_mbe mwenzake nili_focus mbali
mmm, mm, mh
nakunifikia inataka utayari
si alitaka mwenyewe, kutengana na mimi
hivi mwembamba ama mnene?
hebu s_m_ni nyinyi
na zile tambo za mjini pindi yupo na mimi
sahivi viatu anachanganya na vyombo, anatia kabatini

[pre_chorus]
mnasemaje huko?
yuko sawa mnieleze
ama’ mnamuonaje?, anajikongoja doze, doze
mnasemaje huko?
yuko sawa mnieleze
ama’ mnamuonaje?, anajikongoja doze, doze

[chorus]
moja, mi huwaga sina presha
(leo sisemi sana nina mambo matano)
mbili, mjini sijaja kucheza
(leo sisemi sana nina mambo matano)
tatu, sifundishwi kupenda
(leo sisemi sana nina mambo matano)
nne, sirudishi matеka
(leo sisemi sana nina mambo matano)
[post_chorus]
mi huwaga sina presha
(lеo sisemi sana nina mambo matano)
mbili, mjini sijaja kucheza
(leo sisemi sana nina mambo matano)
tatu, sifundishwi kupenda
(leo sisemi sana nina mambo matano)
nne, sirudishi mateka
(leo sisemi sana nina mambo matano)
tano, moyo w_ngu mi ni treasure

[verse 2]
huku mwenzake na_enjoy
naongezeka thamani
hapa nilipo ‘hamnitoi
maana naiona amani
naiona fursa
naiona future
nishaweka nukta
na_enjoy
naiona true love
naliona huba
nasipotezi muda

[pre_chorus]
mnasemaje huko?
yuko sawa mnieleze
ama’ mnamuonaje?, anajikongoja doze, doze
mnasemaje huko?
yuko sawa mnieleze
ama’ mnamuonaje?, anajikongoja doze, doze
[chorus]
moja, mi huwaga sina presha
(leo sisemi sana nina mambo matano)
mbili, mjini sijaja kucheza
(leo sisemi sana nina mambo matano)
tatu, sifundishwi kupenda
(leo sisemi sana nina mambo matano)
nne, sirudishi mateka
(leo sisemi sana nina mambo matano)

[post_chorus]
mi huwaga sina presha
(leo sisemi sana nina mambo matano)
mbili, mjini sijaja kucheza
(leo sisemi sana nina mambo matano)
tatu, sifundishwi kupenda
(leo sisemi sana nina mambo matano)
nne, sirudishi mateka
(leo sisemi sana nina mambo matano)
tano, moyo w_ngu mi ni treasure

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...