kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - liwalo na liwe كلمات الأغنية

Loading...

(slow guitar instrumentals)

[verse 1: rama dee]
huu upepo ukivuma
naomba tutoke, tujirizishe mpenzi
neno moja linaweza
geuzwa vumbi, kutuchafua mpenzi
ila hawawezi kuvuma
mambo yetu yapo bam, bam
hayawezi kubuma
mambo yetu yapo bam, bam

[pre_chorus: rama dee]
dhahiri kwako nina amani
you’re my medicine, ‘kaa nami
honey, tuishi mbali na umbea
machawa ndio vitu wanavyo pendaga

[chorus: lady jaydee & rama dee]
liwalo na liwe (liwe)
liwe (nishasema)
liwalo na liwe (liwe)
liwe (nishasema)
liwalo na liwe
(liwe)
liwe
(nishasema)
liwalo na liwe
(liwe)
liwe
[verse 2: lady jaydee]
mti ukiwa na matunda
hupigwa mawe kila kukicha, mpenzi
nyumba yetu inaweza geuka kero kila machweo, mpenzi
hawawezi kuvunja
nyumba yetu iko bam, bam
hawawezi kuvunja
msingi wetu uko bam, bam

[pre_chorus: lady jaydee]
dhahiri kwako nina amani
you’re my medicine, ‘kaa nami
honey, tuishi mbali na umbea
machawa ndio vitu wanavyo pendaga

[chorus: rama dee & lady jaydee]
liwalo na liwe (liwe)
liwe (nishasema)
liwalo na liwe (liwe)
liwe (nishasema)
liwalo na liwe
(liwe)
liwe
(nishasema)
liwalo na liwe
(liwe)
liwe
[outro]
ooh, ooh
ooh, ooh
ooh, ooh
ooh, ooh

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...