kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady jay dee - chorus lyrics

Loading...

bongo, eh
bongo dar_es_salaam
utalia, lia, lia, lia
bongo dar_es_salaam
kaa chonjo, weh…
ndani ya dar_es_salaam
utalia, lia, lia, lia
bongo dar_es_salaam
kaa chonjo
ndani ya dar_es_salaam
utalia, lia, lia, lia
ndani ya dar_es_salaam

sema unachoweza
(mambo ya fedha)
fanya unachoweza
(mambo ya fedha)
mbona una shangaa?, mambo ya fedha
(mambo ya fedha)
sema unachoweza
(mambo ya fedha)
fanya unachoweza
mbona una shangaa?, mambo ya fedha

tilalila, lila, lila, lila
hii ninayo kupa ni hali halisi
tilalila, lila, lila, lila
sisi na [wanyalu] tunavyoishi
tilalila, lila, lila, lila
hii ninayo kupa ni hali halisi
tilalila, lila, lila, lila
sisi na [wanyalu] tunavyoishi
machoni, ‘kama watu
mioyoni hawana utu
imani imetoweka, mabaya yanaongezeka
machoni, ‘kama watu
mioyoni hawana utu
mabaya yanaongezeka

ama zangu, ama zao
wakibana, wataachia
wakiziba, wakitega ‘wewe tegua
sema nao
ama zangu, ama zao
wakibana, wataachia
wakiziba, wakitega ‘wewe tegua
sema nao

k_mbe ni waongo, hao wenyewe ndio wanaowatokea

kama ni demu sikiliza
kama una swali, uliza
hata kama sijamaliza, ah ‘sikiliza
kama ni demu sikiliza
kama una swali, uliza
hata kama sijamaliza, ah ‘sikiliza

wema wako, utukufu wako
amen
amen, baba
amen
msiache kuongea
ongeeni mnavyoweza
kila mnapo ongea, sifa zinaongezeka
msiache kuongea
ongeeni mnavyoweza
kila mnapo ongea, sifa zinaongezeka

to be with you
i feel like i’m on top of the world
and i wanna stay, ‘just like kilimanjaro mountain
to be with you
i feel like i’m on top of the world
and i wanna stay, ‘just like kilimanjaro mountain

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...