lady isa - dounia كلمات الأغنية
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
oooh mwanangu dunia ina mambo
sikia maneno nakuambiaga
mpe roho yakoo mola wako
heshima kwa wazazi eeh mwanangu
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
chunga mwenzio atakudanganya
kwa yoyote ile atapenda yeye
kipenda rohoo kila mtu na yake
yake ni yake na yako ni yakoo
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
mwendo wa kobee
mayelemayele
mwendo wa chui
kuwindawinda
mwendo wa nyoka
luk_mbaluk_mba
mwendo wa ngalama
kwa njia ya paradii
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea
inategemea akili yako
tafuta eeh… utapata eeh
k_mbuka maneno nakuambiaga
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
chunga mwenzio atakudanganya
kwa yoyote ile atapenda yeye
kipenda roho kila mtu na yake
yake ni yake na yako ni yakoo
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
taabu na raha ina kungojea
inategemea akili yako
tafuta eeh… utapata eeh
k_mbuka maneno nakuambiaga
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
dunia hii mama
luk_mba luk_mba
dunia ina mambo
mwendo wa ngamia
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
sakana mama, keba na la vie
basala kala basuka na finale
كلمات أغنية عشوائية
- goner xo - ghost (prod. jake plus) كلمات الأغنية
- tunna bell thapa - bujhne lai كلمات الأغنية
- escobar macson - étranger en solo كلمات الأغنية
- sean renner - spell 17 كلمات الأغنية
- half hearted - in fair verona كلمات الأغنية
- zaro vega - message, pt. 1 كلمات الأغنية
- alejandra guzmán - piel negra كلمات الأغنية
- henriette b - the election كلمات الأغنية
- lil fruit cup - the death of nicholas كلمات الأغنية
- superpig - go psycho كلمات الأغنية