kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lady isa - alema كلمات الأغنية

Loading...

sugar mamy sugar mamy sugar mamy…
unihurumie baba yangu eeeh (eeeh)

sugar mamy sugar mamy sugar mamy…
unihurumie babu yangu eeeh (eeeh)
najua kwamba una pesa na unanipendaa,
sio lazima unichunge kama askari jelaa eeeh.

ujue kwamba ninaye mke nyumbanii,
tulibarikiwa na mungu eeh akatupea watoto,
sitaweza k_muacha mke w_ngu na wana
w_ngu wapate shida sana eeeh (eeeh).

nikitaka kwenda nyumbani nione wanangu,
ajabu kwamba wananihesabia masaa, mangapi nimetumia eeeh.
uninunulie kitengee nishone habakoksiii,
mbona kidogo waninyanganya bakoksi, yangu mbele za watu eeeh.

sugar daddy sugar daddy sugar daddy,
unihurumie babu yangu eeeh (eeeh).
najua kwamba una gari na unanipendaa,
sio unifatefate kama kuku na vifaranga eeeh

najua kwamba una pesa na unanipendaa,
sio unifatefate kama kuku na vifaranga eeeh.

ujue kwamba ninaye mume nyumbani,
tulibarikiwa na mungu ee akatupea watoto,
sitaweza k_muacha mume w_ngu na wana
w_ngu wapate shida sana eeeh (eeeh).
nikitaka kwenda nyumbani nione wanangu,
ajabu kwamba wanihesabia masaa mangapi nimetumia eeeh.

ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwaa,
ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu eeh.
tamaa iliua fisi.

ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwaa,
ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu eeh.
tamaa iliua fisi.

umasikini sii kilemaa,
matatizo ya duniaaa,
leo kwako kesho kw_nguu,

leo kw_ngu kesho kwako,
ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwaa,
ni heri kufa masikini kuliko kusimangiwa na walimwengu eeh.
tamaa iliua fisi.

(native lingala words)

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...