kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kzbwoy - safari lyrics

Loading...

intro

bombo entertainment (tainment)
they call me kzbwoy

verse 1

niombee baraka zinifuate nisipoteye
(nisipoteye)
niombee salama salamini nirejee
(nirejee)
majuk_mu na ndoto siku zinakwenda inabidi nisake weeh
magumu zaidi haturudi utoto toboa nitoke weeh
hustler nasaka hiyo bread nisilale njaa
namuomba jah aniongeze nguvu niwe shujaa ( niwe shujaa)
no body really cares maisha sio race acha nisake cash ah eh
kichwani nyingi stress nikaona sio vyepesi bora nimake a choice

hook

imenifanya niwe mwanaume eeeeh
(miye wabo)
nisibaguwe kazi nitumike
nyumbani chakula wakapate
imenifanya niwе kidume eeeeh
(miye wabo)
kidogo nikipata niwekе
nijiamini na wasi initoke
chorus

safari safari safari iyeyeyeee
safari safari safari wowowooo
safari safari safari iyeyeyeee
safari safari safari wowowooo

verse 2

nitofautishe ndege na popo
nione mambo mengi niji napo
nijitaidi sana kuwa humble
hata nikikosa niwe simple
nitofautishe ndege na popo
nione mambo mengi niji napo
nijitaidi sana kuwa humble
hata nikikosa niwe simple
anytime mungu akipenda tuu
we go make it through
muguu peku bila viyatu
still i believe tutafika tuu

ogopa ma rafiki trust n0body
yuda escariot ni hatari
niepuke vilevi ,wanawake
kesho nisifilisike
hook

imenifanya niwe mwanaume eeeeh
(miye wabo)
nisibaguwe kazi nitumike
nyumbani chakula wakapate
imenifanya niwe kidume eeeeh
(miye wabo)
kidogo nikipata niweke
nijiamini na wasi initoke

chorus

safari safari safari iyeyeyeee
safari safari safari wowowooo
safari safari safari iyeyeyeee
safari safari safari wowowooo

niombee baraka zinifuate nisipoteye
niombee salama salamini nirejee

Random Lyrics

Hot Lyrics

Loading...