kwaya ya uinjilisti kkkt arusha mjini - kila mtu atauchukua mzigo wake كلمات الأغنية
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
kwa maana sote tasimama mbele ya kiti cha huk_mu
hapo atakapokuja mwana wa mungu
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe,
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
mbona wamhuk_mu ndugu yako natusihuk_miane
kama ndugu akikasirika mrejesheni kwa upole
mchukuliane mizigo kwa upendo
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu ataipokea dhawabu yake mwenyewe
tutalipwa tulivyotaabika ukijiona wajidanganya
mtu aipime kazi yake mwenyewe
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
kila mtu atauchukua mzigo wake mwenyewe
na kila mtu atatoa habari zake
mwenyewe mbele za mungu siku hiyo inakuja
كلمات أغنية عشوائية
- brzo trči ljanmi - modeli كلمات الأغنية
- son classic - sonho moçambicano كلمات الأغنية
- frenna - summer start كلمات الأغنية
- dobet gnahoré - zaliguéhi كلمات الأغنية
- ynkeumalice - just know كلمات الأغنية
- ynkeumalice - next eminem كلمات الأغنية
- kat deluna - kruela (mert hakan & onur betin remix) كلمات الأغنية
- ynkeumalice - joanna كلمات الأغنية
- pfa leek - 12345678 كلمات الأغنية
- emily ann roberts - try everything كلمات الأغنية