kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap - warudishe كلمات الأغنية

Loading...

[intro: domo kaya & dark master]
uhuuuu huuuuuu
ksonnnnnnnnn
huuuw huuu
yeah! will will will will will will
hip hop
ksonnnnnn

[verse 1: ksonrap]
back to westside kama ziziy;
country wizzy mtu chee;
tumchukue darasa tumrudishe darasani;
duke tachez turudishe kilingeni msasani
tamaduni;
juma nature tumrudishe kwa majani;
siku nzuri inavyokwenda kama dani;
tumrudishe jos mtambo kiģamboni;
rudisha wakali kwanza;
fid tumrudishe mwanza mwanza;
mbona kimya rudisheni tht tumuenzi ruge;
pigeni zeze tumrudishe tid
huwa nalia nikimskiliza mez b;
madee tip top mrudisheni pnc;
kwenye stage mrudishe jaydee;
wadau mrudisheni marck d;
j_po yupo busy wateule tumdisheni jafarai;
mwambieni dully nampa hi! rudisheni mapanga tmk;
mik_mi mrudisheni tena jay mbeya mrudisheni may;
chonde chonde mrudisheni tena jongwe;
roma mrudishеni tena tongwe;
inspector turudishе tena gangwe;
uswahilini tumrudishe suma g;
kwenye mic mrudisheni ziggydee;
mnyalu mrudisheni mike tee;
mjamaa mrudisheni buff g;
mrudisheni sister p hardblaster tumrudishe tena teri fananii;
mkiwarudisha watu pori warudisheni wagosi;
kala pina msisahau ana kikosi;
mrudisheni ramadee;
mrudisheni sinza star mansulii;
moto wa tipa mrudisheni zola dee;
in the area warudisheni tkz;
b hits mrudisheni hammy b;
mrudisheni na zay b;
rest in peace sawahiba w_ngu jebby;
warawara da hustler mrudisheni na lodii;
umbwa mzee mrudisheni na jombii;
ukiskia pa ujue ni jcb.

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...