kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap - ukweli lyrics

Loading...

[verse 1: ksonrap]

ukweli utajitenga ka_ mafuta juu ya maji
wengi wenu hampendi kuambiwa
wengine walifungwa na wengine
wakapotezwa
kilichowapoza,nikusema tu ukweli
ukweli unagharama ukiusema ujiandae kuzilipa
ukisimama kwenye ukweli
kama treni juu reli,usijeporomoka mnara wa babeli
mawimbi ni makali, jahazi linazama nahodha hajataka kutueleza tu ukweli
walioshidwa kutoamajibu wakalifeli
nikweli,,..kwa philosopher za da_vinci au niccolò machiavelli
ukweli ndio ulifanya, yesu akapigwa misumari
ukweli wavitabu vitukufu vya zaburi na mithali
ukweli haulidwi na askari mbwa wakali
usalama na mageti yenye shoti za umeme tahadhari
j_po tunafichwa kinachoendelea juu bandari
shilingi inazama meli inaеlea juu ya bahari
au ganja na mapuri juu ya imani ya rastafari
au nyuki anachokula nakukitoa kiwe asali
chozi juu ya kaburi yatima ameshazulumiwa zakе mali
ukwelii
promo mnawapa mkishatuaminisha ndo wakali
kuna ukweli juu ya adhabu ya kabiri kuna pepo na moto wa tanuri tafakari

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...