
ksonrap - tivu ake كلمات أغنية
oya wajumbe mn_z_ngua!!.. (mn_z_ngua)
hatumtaki tivu ake..
oyaaa rasta un_z_ngua..!!! (un_z_ngua)
hatumtaki tivu ake..
producer hatuitaki beat yake hatutanii…!! (hatuchanii)
hayajui matatizo ya wasanii (msanii)
(hatumtaki)
hamja zingatia itifaki..
haujui utamaduni
deile ana hang kina wema
hajimix na wahuni..
haibuki misingini..vilingeni
hatuna chuki nae..
mnasema tuna msagia tu kunguni..
tivu mtu makini
eti tivu ake ana connection na wawekezaji wazabuni..
tivu anakipaji k_mzidi mr bean..
bongo movie anaonekana kila scene..
k_mzidi ata joti na mkojani
tivu hakosekani kwenye kamati misibani..
atatupeleka nnchi ya ahadi
tivu g_nius atatupeleka bet tusijali..
tivu ni real mcee tumkubali..
hana leseni ila tukabidhi usukani aendeshe gari..
كلمات أغنية عشوائية
- j.a.h.o - j'y étais كلمات أغنية
- house of krazees - death 4any1 who... كلمات أغنية
- below - upon a pale horse كلمات أغنية
- dj marc b - gang كلمات أغنية
- kuzu mellow - love habits كلمات أغنية
- kabát - skrblík كلمات أغنية
- ub40 - once ago كلمات أغنية
- carl alvert - volver volver كلمات أغنية
- john anderson - nobody's got it all كلمات أغنية
- belgian asociality - de jas van piet كلمات أغنية