
ksonrap - ngome كلمات أغنية
vass g mirror ft. ksonrap
[verse: 2]
ksonrap
sivumi lakini nimo/
nimetulia nikilipuka nizaidi ya volcano/
kwamaflow na michano/
nikama mp navyogawa tu kibano/
mcee sipagawi hata na promo/
nauza kanda mseto kwenye soko/
siyumbishwi itikadi kali misimamo/
kwauchanaji nizaidi hata ya mbao na msumeno/
kigamboni mpaka kino/
naenda nao jino kwa jino/
nikiwa na vass g kwenye mdundo/
nikama nas akiwa na dre ama premier/
bado tuna sign tu madeal nak_mwaga tu mawino/
nikiwa chimbo nakuwa nyang’au kama chindo/
bwana mdogo hapana nilipo kufika sio simple/
waliotest walikimbia walijua kinachofata tu nikifo/
silaha ya maneno bila risasi kwenye pistol/
mateso zaidi ya skristo/
feel the boombap kiki na snare nzito nzito/
hili beat huwezi kwea zozo wala stiko/
peace to the fallen soldier alberto/
arnesto che (guevara) pia na biko/
كلمات أغنية عشوائية
- elii ormond - space كلمات أغنية
- cheatz (pol) - kłopoty كلمات أغنية
- hard car kids - something right كلمات أغنية
- ty suave (rapper) - confusion كلمات أغنية
- nwg - mademoiselle كلمات أغنية
- lola mercer - nothing stays forever كلمات أغنية
- david bowie - under pressure (live phoenix festival '97) كلمات أغنية
- chemtrails - paranoiacs كلمات أغنية
- marco aziel - (i wrote this to a) ghost كلمات أغنية
- friedel hensch & die cyprys - lucky aus kentucky كلمات أغنية