kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap - nchi yangu كلمات الأغنية

Loading...

nchi yangu ibarikiwa milima mabonde bahari na maziwa;
ardhi yenye rutuba kwa kilimo cha mpunga mahindi maharage mpaka miwa, uwoto wa asili ;
ufugaji wanyama kama ng’ombe mbuzi na ndege kama njiwa;
historia za machief wakati wa ukoloni nakabla hatujatawaliwa ukija utahadithiwa;
pita bagamoyo zanzibar mpak kilwa;utapata vinjwaji asilia kilimanjaro kuna mbege korogwe kuna ulanzi mn_z_ mpaka piwa;
bungeni kuna siwa, madini yakila aina tumetunukiwa;
hakuna ukabila ukija hauto baguliwa,amani na upendo hauto bugudhiwa;
watu wake majasiri kama kijana majaliwa;
inabidi tuwe wazalendo tulinde nchi mali nisije zikaibiwa;
sio tu flyover ndege za abiria na mizigo zimeisha nunuliwa;

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...