kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap - nawakilisha كلمات الأغنية

Loading...

[verse 1: duga mawe]
nawakilisha tmk kwa hizi nyayo za mbagala;
ni kweli hukosei kizazi kimetikea nyamala;
nawakilisha ndani ya fani hii ya sasa hisia za kale;
nawakilisha thamani tunaoishi maisha ya tandale;
nawakilisha wafalme wanaoishi kitumwa;
wakilisha yako subira ukiamini zitachumwa tuu;
naa wakilisha mchaka mchaka wa uswazi;
nawakilisha kiburugwa charambe na chamazi;
nawakilisha matumaini usijione kiwewe kwa sauti nafika mbali makazi m’bande kisewe;
nawakilisha hip_hop toka ndani ya moyo;
daima nitauwakilisha tu uadui kwa wachoyo;
[verse 2: bunaya]
oii oii kama saigon ebwana dar;
naiwakilisha dar es salaam ebwana raha;
naiwakilisha rap kwamichoro inanga’a;
inakuwa so crean lake a king haa;
nawakilisha (bny cypher) do or dae never stop kama baisa;
saka mashilingi kama uko na taita ganja kali nyingi yani ka tupo jamaica;
naiwakilisha k nyamala my hood ndo mitaa ninayo toka it’s good;
no body i fear in mood i am iron am not a wood;
nawakilisha tng tanga boy

[verse 3: ksonrap]
nawakilisha kino clain..nyota mabegani captain;
nawakilisha unyama unyamani kino nimeiweka kiganjani;
utanieleza kitu gani..nawakilisha sogodo ndani ndani uswahilini;
nawakilisha hiphop mpaka siku mwisho napolala kaburini;
kwenye huu utamaduni napo ghani nawakilisha wanangu kiotani; kiota mv09
black people namuwakilisha martin luther king;
(i have a dream)
nimeshuka toka sky nawakilisha aliens;

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...