![kalimah.top](https://kalimah.top/extra/logo.png)
ksonrap - haujamskia lyrics
hauk_mskia babuu alivyokwambia kimbia/
hauk_mskia salut alivyosema chunga sana/
sikio lakiziwi haukusikia ya wahenga/
kifo jela au za umataasisi hak_mskia langa?/
hauk_mskia jaymoe aliposema ulimwengu ndo mama/
hamk_mskia roma/
ulikuwa wapi wakati tmk wanapiga mapanga/
rafael hauk_msikia saganda/
wakati wagosi wapotanga au dani msimamo siku nzuri inavyokwenda/
hak_mskia balozi dola ubalozini/
sasa yupo unyamwezini marekani/
ungeona mbali ungemkiliza afande wa darubini/mkali wa hizi rhymes
sasahiv ni waziri ila alianza kitambo hicho mwanafalsani/
unaweza k_muita binam wa mabinti dam dam/
please forgive me kama hauk_msikia majani watu waligonga nakala kwa mamu/
haukuwaskia kikosi wakati wanapiga mizinga pale block 41 (kino)/
ilikuwa ni noma usiuze wakati kiraka rado ana mwaga sana wino/
hauskia wakati anatubu chidibenzino haukukaa tayarl kunamskiliza jos mtambo kigambonino/
ulikuwa kijijini sitimbi wakati asuu anatamba na misambano/
kulikuwa na mwinjuma mumini kabla ya hizi amapiano/
umekosa vingi hauk_mskia hongera wa michano/
كلمات أغنية عشوائية
- will hoge - the overthrow lyrics
- 8mvr3 - да, мы в топе! (yes, we are in the top!) lyrics
- la torture des ténèbres - leaving you will be my renaissance lyrics
- ivete sangalo - pau de arara lyrics
- elaine martins - em nome do senhor lyrics
- the secret experiment - rebirth lyrics
- j. cast - top down (ft. bails) lyrics
- ben schuller - breaking out lyrics
- najwa latif feat akwa arifin - tak kisah pun lyrics
- scr - people in rooms lyrics