
ksonrap - demu wa ndoto كلمات أغنية
[intro:ksonrap]
ksonrap
“what goes around comes around”
you know i mean
[verse 1: ksonrap]
kanamikogo yani kadogo dogo;
kamoto moto kametoka kwenye jiko;
nyuma kana mzigo kanatembea kwa mitego;
kifuani kana dodo yan saa sita kasorobo;
hakana shobo nikamodo;
sura yake inajiuza bila promo;
anashedo kwenye mdomo wanja kwenye jicho;
kapo simple nikadata tu mwendo;
huyu mrembo; mambo! kakajibu bila nyodo;
kakasema kaposingle kakanipa pia info kanaishi juu makongo;
kakanipa pia namba username yake tiktok kapo pia facebook;
tukapiga sana selfie maphoto macho matatu sio local;
kana tattoo kwenye shingo nikembamba yan kadogo dogo;
sauti yake unaweza ukaombea hata mkopo;
nilikuwa navuta fegi nikaipiga kwanza nyundo;
inaonekana nikafundi kitandani kanastyle zaidi hata ya judo taekwondo;
nikipige tu kibend kama tw_nga au akudo;
sikapakii hata mkongo nakawashia sana moto;
hakatoto kananukia unaweza sema jini yule wa z_anto;
nikapania nikasema kakinipa napita pеkupeku kama mpoto;
hapo hapo nikaomba nipige ata kamoko;
mara naskia mtu anagonga kwenyе mlango;
kushtuka k_mbe ilikuwa ni ndoto;
simu ikaita kupokea naskia sauti ya yule yule mtoto;
kajasho chembamba kikasikia sana joto;
nikaona sasa sio mchongo tena changamoto;
nikataka kukimbia kwenda chocho kufungua sasa mlango nakutana nae live uso kwa uso;
moyo ulipatwa na mshtuko k_mbe ilikuwa bado ndoto;
كلمات أغنية عشوائية
- shark (colombia) - me controla كلمات أغنية
- prompt - no chill كلمات أغنية
- sg - too late كلمات أغنية
- above the earth - paradise كلمات أغنية
- migos - new money كلمات أغنية
- ket$ar - rage كلمات أغنية
- neon currents - legal كلمات أغنية
- jeanjass - jinédine كلمات أغنية
- rot ken - never bend كلمات أغنية
- jg-z (us) - peter pan كلمات أغنية