kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ksonrap - cypher 2023 كلمات الأغنية

Loading...

mistari yenye punch ya kufua umeme kama bwawa la nyerere
kwenye rap naheshimika kama pele
wachawi piga sana ndele chanja chale
nilikuwepo enzi zile za kilinge uliza malle
rest in peace salutaba frikra zitadumu miaka tele
vina navishona kama nywele,natupia kwenye nyavu ka mayele
na ramani ya sanaa na mitaa ndani ndani kwa mtogole
misingi naitunza kama bible na mlokole
nitabaki kuwa noma uliza shule
chemchem usiulize harakati bado bure
mbele kwa mbelе
msela naongeza tu miselе
kifikra nawateka ka kikombe cha ambikile

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...