kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ks alpha - songa mbele كلمات الأغنية

Loading...

we songa songa songa mbele
songa mbele
hata watu wakuseme we songa mbele×2

(usivunjije moyo baba wewe, mazuri yapo mbele
usikate tamaa mama eeeh utafanikiwa)×2

(we songa songa mbele usirudi nyuma)×2
(hata watu wakikuongelea usirudi nyuma)×2
na biashara yako we usirudi nyumaa

we songa songa mbele (songa mbele)×2
hata watu wakuseme we songa mbele×2

ay
kwenye maisha kuna hater stand by usivunjike moyo ndo maisha
ongeza tu na kisha kuweke mungu yatakwisha
wkat ndio huu we songa songa…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...