kontawa - mbalamwezi كلمات أغنية
[verse 1 : kontawa]
me na wewe kabla atujawa wapenzi
tulikutana club ukanipa one night stand
ile siku nilikua na maumivu kishenzi
me na ex w_ngu ndo tuliachana stand
nlikuaga nauza banga na vijiti
nlijitoa sana ili mradi ye aishi
ila bado alinicheat
sa ningefanya nini na nimemfuma na poliisi
[bridge : kontawa]
k_mbe mapenzi siti ya daladala
kashuka yeye umepanda wewe
ata nikiwa njaa usinipe chakula
mama nataka nikule wewe
[pre chorus : jay melody]
niseme kweli sijielewi
raha za hii sayari ndo zimenichanganya mee
ayaa mapenzi ibaki kheri
kukuachia siwezi nishakuweka moyoni
[chorus : jay melody]
una ng’araa kama mbalamwezi
ata nikilala nakuota mupenzi
baby si unajua kukuacha siwezi
yani una ng’ara kama mbalamwezi
una ng’araa kama mbalamwezi
ata nikilala nakuota mupenzi
baby si unajua kukuacha siwezi
yani una ng’ara kama mbalamwezi
[verse 2 : kontawa]
kw_ngu anachеza mwenyewe sitaki ata nimchеzee
wenzenu tumepanda basi tuko road tunaenda uzee
ata kama wachawi ni wengi iih
siwezi k_mficha yeye sio bangi
anavyo nishika mwenzenu me
napiga mabao kama vile harland
yeye nak_mbuka aliniambia anapenda uvuvi
kupiga makasi
istoshe baba ako baharia
ndo mana ukija getto uwaga unanivulia
[bridge : kontawa]
mama mapenzi usiite daladala
kashuka yeye umepanda wewe
ata nikiwa njaa usinipe chakula
mama nataka nikule wewe
[pre chorus : jay melody]
niseme kweli sijielewi
raha za hii sayari ndo zimenichanganya mee
ayaa mapenzi ibaki kheri
kukuachia siwezi nishakuweka moyoni
[chorus : jay melody]
una ng’araa kama mbalamwezi
ata nikilala nakuota mupenzi
baby si unajua kukuacha siwezi
yani una ng’ara kama mbalamwezi
una ng’araa kama mbalamwezi
ata nikilala nakuota mupenzi
baby si unajua kukuacha siwezi
yani una ng’ara kama mbalamwezi
كلمات أغنية عشوائية
- aurélie preston - plus près (we can make it right) كلمات أغنية
- one speed - lemon pledge (role call) كلمات أغنية
- wax - i don't need no drugs كلمات أغنية
- maschine beats - onthespotsessions (vol3) - dallas artists كلمات أغنية
- owners closet - i dont want to feel this way كلمات أغنية
- omarion - netflix & chill كلمات أغنية
- mio mao - vs. 4tune - [rr 4tel-finale - vbt 2012] كلمات أغنية
- ceromundo - ella canta كلمات أغنية
- foolish ed - more than one كلمات أغنية
- bandgang masoe - slow grind كلمات أغنية