kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kondela - day by day كلمات أغنية

Loading...

verse 1
zero distance, huu mwili w_ngu na wako
umeni_confess, naiga tabia zako (wewe)
nimekuwa mwepesi, kwa mbwembwe na raha zako
kweli mungu ka_bless, jamani uzuri wako (wewe)

pre_chorus
na michezo tunayoicheza (hatari)
kwani nani amekufunza? (hatulali)
ah, na ukiwa mbali naumwa
mwenzio oooh, ninavyoona

chorus
yani day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in love)
day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in love)

verse 2
my cherie, i’m proud of you
ngamia w_ngu mzuri, mtunza maji kwenye safari
nakiri, without you
ni sawa na nyuki bila asali

yako tamu kama chenza (kama nanasi)
yani kama maziwa tui la n_z_
moyo w_ngu unacheza (masarakasi)
tukiwa chumbani tujinafasi
pre_chorus
na michezo tunayoicheza (hatari)
kwani nani amekufunza? (hatulali)
ah, na ukiwa mbali naumwa
mwenzio oooh, ninavyoona

chorus
yani day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in love)
day by day (day by day)
i’m falling in love (falling in lovе)

outro
day by day…
falling in love…
day by day…
falling in love…

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغنية الشائعة حالياً

Loading...