kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kivurande junior - moyo kama macho كلمات الأغنية

Loading...

moyo kama macho upepesa pande zoooteee
lalaaa laaala laaaaahhh
moyo unamashiko uzishika isiaa zoooteee
laaala lalaaa laaaaahhh
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimpendae
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimtakaeeee
mwezenu nimepagawa mwezenu nimechachawa
ni kweli namuelewa na kwake nimezidiwaa
moyo taaratibu usije kuniumizaa
nusu ya wazima usije nipandikizaa
moyo taaratibu usije kuniumizaa
nusu ya wazima usije lipandikizaa
nasema na moyo w_ngu usije kunitatizaa
mjini kuna vya watuu visije kuniuumiza
nasema na moyo w_ngu usije kunitatizaa
mjini kuna vya watuu visije kuniuumiza
moyo taaratibu usije kunisumbua
nikapata tabu mwisho ukanisumbuaa
moyo taaratibu usije kunisumbua
nikapata tabu mwisho ukaniumbuaaa
mwezenu nimepagawa mwezenu nimechachawa
ni kweli namuelewa na kwake nimezidiwaa
moyo kama macho upepesa pande zoooteee
laaala laaala laaaaahhh
moyo unamashiko uzishika isiaa zoooteee
laaala lalaaa laaaaahhh
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimpendae
tena unipa mfadhaiko kwa yule nimtakaeeee
moyooooo ooooooooohoooooo ooooohohh
moyo toa mashakaa
moyooooo ooooooooohoooooo ooooohohh
moyo w_ngu tiririka tiritirii
tiriii tiri mama tiriii
mwanagu natiririkaa nasema natiririkaa
we mama natiririkaa tiritirii
tiritirii tiritirii maama tiriri
mwanagu natiririkaa nasema natiririkaa
we mama natiririkaa tiritirii
tiritirii tiritirii maama tiriri
mo fire sasa ni zamu ya watu k_mwaga majii
tuwamwagishe watu maji eeh mo firee
ahh wa mwage waloooeee
ale maji maji maji maji majii majiiiiii
ale maji maji ya kisima maji ya kunawa majii
ya kuoga maji ale maji maji ya kisima maji
ya kunawa maji mi nasema maji chemchem aah
mtw_ngio tw_nga kati kati usiharibu kinu changu
mtw_ngio tw_nga kati kati usiharibu kinu changu
ale tw_nga tw_nga mi nasema tw_nga mo fire tw_nga
mi nasema tw_nga kivurande tw_nga mi nasema tw_nga
ale tw_nga tw_nga katikati tw_nga nakushoto tw_nga
na kulia twana wachapee sasa warakeee
utamu ohh utamu kuzidiii warudi nyumbani]
ustadhi na yeye _n_logaa tangaaaaa
waja leo waondoka leoo ehee
sikiliza suluhu tamu kutoka kwa matore mtoto wa taboraa
wacharazie leo wakujue na wewe ni naniii

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...