kiuwiz - so special كلمات الأغنية
intro:
yo
uh its your boy kiuwiz
you look so special baby
acha nikusifie
verse 1: kiuwiz
kwenye wazuri, we wa kwanza kati yao
that’s why before s-x, tayari nishapiga bao
una sifa za ukweli kushinda wao
nikikosa unanifariji,nikipata unasema wow
baby girl,you look so special
nitaimba kama diamond nitasema nataka kesho
twende kwa wazazi
tukapate radhi
mi sio star usiogpe mapaparazi
sio siri unanipa sana raha
mi mshale wa sekunde baby girl we ndo saa
sifa zako n-z-toa kwenye beat
mapenzi daladala naomba mwengine usimpe seat
we ni mrembo zaidi ya mademu wa facebook
uzuri wako haunigharimu nikiwa nawe simalizi buku
ulinipenda j-po mchizi mi kapuku
kuwa nawe sina tatizo upagawi na chips kuku
chorus: harmonizer
kila namnaaaaa
umenigusa,umenikosha
kila namnaaaa eeeeh
lazima niwe na weweeeee
napenda lako dimpoz mrembo
jinsi ulivyo simple naumia roho
natamani uwe na mimi
we mremboo beibeee
verse 2: kiuwiz
yo
your body is beaut umenawili
i love your drop tops and high heels
we spend how we wanna spend coz we gotta deals
twende best bite baby ukapate meal
we ni v.i.p your boot is very b.i.g
me ni t.i.d we be ballin till we d.i.e
kila unachofanya andika kwenye diary
never break my heart baby be sincerely
problem nitasolve never mind that
pretty eyes big booty baby where you got that
facebook,twitter you ain’t got to sign that
wajanja watanipiku baby utakua unitaki
kwenye mapenzi we ni master
shake your -ss faster
unachotaka nitakupa i’mma motherf-cker hustler
i think about your birthday
nitakufanya uwe happy
i will give you more surprise
i know you gonna love that
chorus: harmonizer
kila namnaaaaa
umenigusa,umenikosha
kila namnaaaa eeeeh
lazima niwe na weweeeee
napenda lako dimpoz mrembo
jinsi ulivyo simple naumia roho
natamani uwe na mimi
we mremboo beibeee
verse 3: kiuwiz
we ni mrembo umekamilika kila sector
kiuno bila mfupa unakatika kama besta
mzuri sana pale unapovaa skirt
unapovua skirt kw-ngu unabaki so s-xy
unaleta gumzo kila pande za mtaa
wana wanageuza shingo wakicheki bambataa
huh 8 figure wala sio 4 figure
unaringa ukitembea shingo mithili ya twiga
kuwa nawe narelax kama sofa
we ni kinywaji changu nisipokunywa bear wala coca
twende home uwe official kama referee
mabishoo wakikufata nitawapiga kama bruce lee
mabishoo moja pamba juu ya bati wanarusha mawe
hata hijabu ukijitanda unawafanya wapagawe
we ni mti uliomwema wala sio mtikila
wenye matunda mema nakuita mrs kiula
chorus: harmonizer
kila namnaaaaa
umenigusa,umenikosha
kila namnaaaa eeeeh
lazima niwe na weweeeee
napenda lako dimpoz mrembo
jinsi ulivyo simple naumia roho
natamani uwe na mimi
we mremboo beibeee
كلمات أغنية عشوائية
- marcianeke - cobra kai كلمات الأغنية
- pi'erre bourne - count it* كلمات الأغنية
- lil tjay - adios كلمات الأغنية
- young franco - underneath كلمات الأغنية
- kyber.exe - prey 64 كلمات الأغنية
- vultura - easy كلمات الأغنية
- cobra - love sweet love كلمات الأغنية
- gitti & erika - ciao, marco, ciao! كلمات الأغنية
- koyoffe - o velho coiote كلمات الأغنية
- jayya - here we go again كلمات الأغنية