kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kitu sewer - saa hii saa hii كلمات الأغنية

Loading...

[intro – kitu sewer]
cheeky-cheeky… ni kitu sewer, come tena

[intro – g-wiji]
mashifti… ndani ya building… mara ingine

[hook: kitu sewer]
kila kitu unaeza fanya
fanya saa hii saa hii
juu saa hii saa hii, ndio tunapumua
huezi jua vile kesho itakua
biashara fungua, land nunua
fanya saa hii saa hii
juu huezi jua vile kesho itakua

kila kitu unaeza fanya
fanya saa hii saa hii
juu saa hii saa hii, ndio tunapumua
huezi jua vile kesho itakua
biashara fungua, land nunua
juu huezi jua vile kesho itakua

kila kitu unaeza fanya
fanya saa hii saa hii
juu saa hii saa hii, ndio tunapumua
huezi jua vile kesho itakua

juu saa hii saa hii ndio tunapumua

[verse 1: kitu sewer]
uliangukia
ukadimbua dough zote
saa hii unaitaitisha za kutoa lock
ukiambia maboyz, wadogo
vile ulikua mdogo
ulikua ukichafua
ukisema heri ungejua
pesa maua
niko nahuyu beste yangu
kila rinda ikipita kwa njia
anadai kui vua
saa hii tunamtoa nje
amekkata mbaya, akaote jua
akili ndogo uongea vile jana ilikua
kesho leo itakua jana
sii tuko base tunachana
usiwadharau hawana
ni information wana-gather
vile unaishi na watu jo, ina-matter
kesho, kile ulitoa leo ndio utapata
prison warder anajua pia ye ni mfungwa wa kawa
saa zingine pia sumu ziki-mix-iwa ni dawa
time ni saa hii ya kuji-radar au kuji-murder
ka una-feeling we ni badman, keep-it-to-yourself
kuna wengine wana-suffer
ka ni deni lipa saa hii
usiongee kesho
hatupiganangi na ma-pillow, ka-obsessions
hii ni kwa wale wasee wali-backslide after kuenda gospel
na mabuda wali-retire, wanaishi kwa-hotel
hawaku-buy any

[hook]

[verse 2: kitu sewer]
saa hii saa hii naishi na vichwa vibovu
wafinya vitovu
wachimba migodi
speak-off the devil, na utamwona saa hii saa hii
ataji-show, mahasidi hawataki ku-keep-off
kila kitu ikifanywa too much ni sumu
starehe sahi lakini hazidumu
umekunywa ukasahau jamii
unamajuk-mu
saa explain ukirudi home, mkono tupu
surprise ni nzi kwa supu, mpige munju
kufurahisha dunia ni kaa kufanya, panya
e-hug ndovu, ni ngumu
kuna watu saa hii saa hii hawataki kukuona free
pengine na sururu
ukimanga mururu jela kukuru kakara na maf-kuru
walifuf-ka jana saa hii utasemaje una-dush kwa nyumba?
umefuga kunguru mzee!

[hook]

[lady voice]
just-hit-low productions

[kitu sewer]
faaaaaaaaaaaaanya saa hii saa hiiiiiiiiiiii

[fadeout]

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...