kingsmainamssteve - wachana naye كلمات الأغنية
taratibu wazee kwa vijana, wamama kwa wasichana, karibieni sauti inawalilia kwa huzuni mingi, samahani wapenzi tega masikio mniskilize, mazuri apa wingi maovu yote tunaodoa ukurasani, chunga tamaa ya nje itakuagamiza na usahaulike, chizika na wako wa nyumbani mwenye mapenzi kiupedo ya kifahari isiyo ya leo leo leo tuu, milele milele eeh kaa ukijua
eti ukimuona kavalia miniskirt nusu uchi uwe kijana ama mzee , wachana naye anasifa ya kuachaa mapaja na migogo wazi, mwenye k_melemeta kaa maridadi car, usiku anakaa mw_ngaza ila akipita usimkonyezee jicho, usije ukajisahau
huyo ni mtapeli wa mali yako, mwenye mapambo kupedeza sauti gunzo tu, kuvutia kukuharibia ujana tuu
sometime amevalia kogi kogi, utaskia kogi kogi akipita kwa marigo, huyo ni kama funza anasaka pakutubukia kwa muda ooh, hao maabunuasi wako hapo ulipo walahoi na walahai wote wakitubukia ndani kwa ndani na kusahau na familia zao manyumbani, kuwa mjaja usifanyuwe mtumwa, wakate waodoe kwa line up ya maisha yako, usipagwe na nderеmo na sh_gwee , siku zote jijue wewе mwenyewe, uwapendao uwatunze dio watakao kuzika , watasimama nawe wakati wowote, kama ujui jua leo ,hakuna aliyekama wewe ulimwegu mzima sio sili tena hawa watu wako mumejionea wenyewe , jihathali ishi na watu vizuri
huyo ni mtapeli wa mali yako, mwenye mapambo kupedeza, sauti gunzo tu, kuvutia kukuharibia ujana tuu eeeeeeeeeeeeeeeeeeh
كلمات أغنية عشوائية
- jeej rain - f*cking high كلمات الأغنية
- chasing abbey - learning to dance (lanigan's ball) كلمات الأغنية
- jenny wolf - lied to me كلمات الأغنية
- renz verano - pusong salawahan كلمات الأغنية
- osiris h - mamá كلمات الأغنية
- casxuls - clarity كلمات الأغنية
- praying mantis - thirty pieces of silver - bonus track كلمات الأغنية
- печень (pechen) - сонная (sleepy) كلمات الأغنية
- alexzander - caught in the break كلمات الأغنية
- og.ts - yanga bora كلمات الأغنية