king kaka - chum كلمات الأغنية
yeah yeah, yeah yeah
ukiipata yangu missed call
basi jua nimek_miss
ukinitaka na siko
picha yangu waeza ikiss
basi nieleze ulipo, nifike ata sai
bado love ipo, you know we were mean’t to be
nimezunguka kote sik_mpata
nikaona wewe ndo unayenifaaa
tunavyoendana, kukukosa karaha (raha)
napokuwa nawe naiona furaha
maradhi ya moyo na we ndo tiba
tunavyoendana kukukosa karaha (raha)
pale ulipo, nami nipo
mi na we pamoja hadi mwisho
yale ya zama sio ya sasa
ni ukurasa mpya
si nikukiss, nikuchum?
upande gani babe i’m coming soon
furaha yangu tumerudiana
kusema kweli nakupenda sana
si nikukiss, nikuchum?
upande gani babe i’m coming soon
furaha yangu tumerudiana
kusema kweli nakupenda sana
uh, king kaka alright
i swear mah, this distancе is k!lling us
si uwe nandy w_ngu na mimi billnass
vile ushanikubali i swear mimi bass
tosha tosha
vilе uchungu yangu umeipoza
pigia mum mshow nakuposa
na kosa sio kosa hadi kosa
basi tosha, tosha tosha
sai mi ni buda, nataka si tusettle
tupange na mapadere kidogo pale petals
watamani yetu ka kasunje na kapedo
na ukiumia kidogo kwako mi ni dettol
main mbona anakeep up na plan b
hatuwezi wachana ka waititu na frankie
usipotee njia hawa mafisi wakupate
karibia kw_ngu kidogo unipige mate
pale ulipo, nami nipo
mi na we pamoja hadi mwisho
yale ya zama sio ya sasa
ni ukurasa mpya
si nikukiss, nikuchum?
upande gani babe i’m coming soon
furaha yangu tumerudiana
kusema kweli nakupenda sana
si nikukiss, nikuchum?
upande gani babe i’m coming soon
furaha yangu tumerudiana
kusema kweli nakupenda sana
كلمات أغنية عشوائية
- smoke fairies - christmas without a kiss كلمات الأغنية
- akkogorilla - cho-futsu كلمات الأغنية
- kot (pl) - to jest polska كلمات الأغنية
- timbuktu - bra, bra كلمات الأغنية
- jóipé x króli - skiptir mig máli كلمات الأغنية
- loki - mass appeal كلمات الأغنية
- schote - hoodwatcher كلمات الأغنية
- cities aviv - a beautiful hell كلمات الأغنية
- lake (band) - no wonder i كلمات الأغنية
- gilbere forte - walk of life freestyle كلمات الأغنية