
kiboko - macheda كلمات أغنية
[intro]
ee si nilisema wanyonge ni wanyonge wazito ni wazito
[verse 1]
hii boomba inaitwa macheda
inaleta pesa beba beba
zikishika tingisha mabega
paka mablube, njugu na kazesta
furi furi jazwa na maayela
fast lane naponyoka kama senna
sema vipi kama wewe ni member
mbogi nzima hakuna mlesser
[chorus]
benzo na mabima sikosi macheda
jeep, rover bado nakula mrenda
[verse 2]
na wakidhani si ni ma_underdogs
cheese bado ni parmesan
landi ni afrika 254 commander sir
mbuzi gwara mn_z_ za costo za pwani yea
neti noma touch the clouds
powerbanks siwezi run out
streaming, commenting da!
constantly posting ya wasupa, thayo na b_tt
shelf na rack zinabounce zimefura zinaweza burst
si nagasaki ni mafuta
twitter, fb, snapchat, tg, whatsapp
[chorus]
benzo na mabima sikosi macheda
jeep, rover bado nakula mrenda
macheda!
[verse 2]
all the things i got is your desire
from the bottom i had nothing prior
the ghetto hot everyday’s a fryer
still could put nothing on the fire
but now when they see they bow
i made my mama proud coz this is the sound around town
play it loud!
the haters r so down
i elevate they frown
never been lost but lounged
living legend watch my crown
[pre_chorus]
hii boomba inaitwa macheda
inaleta pesa beba beba
zikishika tingisha mabega
[chorus]
benzo na mabima sikosi macheda
jeep, rover bado nakula mrenda
كلمات أغنية عشوائية
- kvlr soul - summer ray كلمات أغنية
- ja mi (russia) - наша личность (our personality) كلمات أغنية
- fundz (us) - i got yo back كلمات أغنية
- mvttiu - consumiéndome كلمات أغنية
- migo (eg) - ibn halal | إبن حلال كلمات أغنية
- gerr - xanny كلمات أغنية
- lil kj4kmu & yung turu - cewek ml anjing كلمات أغنية
- john michael howell - noah guy كلمات أغنية
- geno samuel - the smile has left your eyes كلمات أغنية
- brinov marko - crazy for world كلمات أغنية