kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

khaligraph jones - yes bana كلمات الأغنية

Loading...

[intro: khaligraph jones]
aye-yoh motif turn me up on them headphones bro
warrup

(yes bana, yes bana, yes bana)

uh
yes bana, yes bana
yes bana, yes bana
yes bana, yes bana
yes bana, yes bana

[verse 1: khaligraph jones]
hii mwaka nimejam na sijali (yes bana)
i swear nimekam na makali (yes bana)
naona mafans wana swali (yes bana)
snitch ana run kwa askari (yes bana)

look me napiga hatari (woo)
oops nishalipa mahari (iyee)
dem nishapata wa k-marry (yes bana)
mamacita jo ni chupa shinda zari (yes bana)

mi niko na flow kali kali (yes bana)
mi hupiga show mbali mbali (yes bana)
mi niko na doh na magari (yes bana)
we una hate na una soo kwa m-shwari( hahaha)

nitapiga collabo na fally (rrrah)
then ngoma na dola kabari (omollo)
arrowbwoy, kang kaka, juacali (yes bana)
play ke jo na si tafadhali (yes bana)

niaje watu w-ngu wa asenali (yes bana)
season ni yetu msiworry (yes bana)
mi nishawapasha habari (yes bana)
ule kijana hodari (yes bana)
lazima tuishi kifahari (yes bana)
don nina links na omari (yes bana)
biz pia napiga na p-ssaris (yes bana)
veve nashikisha na maarif (yes bana)

[hook: bien aime]
2020 tuko key (yes bana)
bien aime na og (yes bana)
itabidi mmetii (yes bana)
juu sisi ndio committee (yes bana)
and they got nothing on we
jogoo wa shamba anawika mjini (yes bana)
manoti si mashilingi (yes bana)
kuna mash0r- kwa wingi

[chorus: bien aime]
marijuana pon’ di corner (yes bana)
mbogi mzima ina choma (yes bana)
inatupandisha chopper (yes bana)
in this city si ndio hova (yes bana)

marijuana pon’ di corner (yes bana)
mbogi mzima ina choma (yes bana)
inatupandisha chopper (yes bana)
in this city si ndio hova (yes bana)

[verse 2: khaligraph jones]
buda si huball ka lukaku (yes bana)
mtaa mi huchill na mafyatu (yes bana)
gangsta timba ndo kiatu (yes bana)
tunapiga ginger na shaku (yes bana)
niko na mangoma za power (woo)
wanauliza mbona madawa? (woo)
vile nimeshona visawa (iyeee)
fly ka niko na mabawa (haa!)
mi ni ras jo ni dredi tu sina (what?)
na nishaikuwa thegi masimba (hahahaha)
najua mapedi na jina (yes bana)
either way hamwezi kunishinda (yes bana)
ukikuja east mi kamanda (yes bana)
try kunidiss pia ni blunder (yes bana)
form ni mazishi na matanga
na mi sina beef na ohanga (spendii)
ohanga hunitakii kwa nini? (yes bana)
mbona usifanye traki na mimi? (yes bana)
tutop hizi chart za mjini (yes bana)
after that you will be happy amini (yes bana)
staki interview za gazeti (no)
maswali za ufala hazileti (nop)
mi huomba ka ndingi wa nzeki (woo)
goat ka ronaldo na messi (brr)
nani mwingine ka mimi? (hakuna)
mafuta napaka marini (ey)
gut shinda rosa na timmy (omollo)
mi hurap kama hova na nyinyi? (ey)
shinski collabo tufanyi? (yes bana)
tushike from dago to carni (yes bana)
intabothagwa semanyi (yes bana)
usitry kunishow haiwezekani (yes bana)
huddah simu hashiki (yes bana)
anadhani mi na try k-mpiga miti (yes bana)
nina wife jo sipendi hizo kiki (yes bana)
am done with this sh-t jo oriti (yes bana)

[hook: bien aime]
2020 tuko key (yes bana)
bien aime na og (yes bana)
itabidi mmetii (yes bana)
juu sisi ndio committee (yes bana)
and they got nothing on we
jogoo wa shamba anawika mjini (yes bana)
manoti si mashilingi (yes bana)
kuna mash0r- kwa wingi

[chorus: bien aime]
marijuana pon’ di corner (yes bana)
mbogi mzima ina choma (yes bana)
inatupandisha chopper (yes bana)
in this city si ndio hova (yes bana)

marijuana pon’ di corner (yes bana)
mbogi mzima ina choma (yes bana)
inatupandisha chopper (yes bana)
in this city si ndio hova (yes bana)

[hook: bien aime]
2020 tuko key (yes bana)
bien aime na og (yes bana)
itabidi mmetii (yes bana)
juu sisi ndio committee (yes bana)
and they got nothing on we
jogoo wa shamba anawika mjini (yes bana)
manoti si mashilingi (yes bana)
kuna mash0r- kwa wingi

[chorus: bien aime]
marijuana pon’ di corner (yes bana)
mbogi mzima ina choma (yes bana)
inatupandisha chopper (yes bana)
in this city si ndio hova (yes bana)

marijuana pon’ di corner (yes bana)
mbogi mzima ina choma (yes bana)
inatupandisha chopper (yes bana)
in this city si ndio hova (yes bana)

[outro: bien aime]
yes bana, yes bana
(125, 1960)
yes bana, yes bana

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...