
khadja nin - free (sina mali, sina deni) كلمات أغنية
ahiya, ahiya
kwa baraka
mimi napona
kabisa, ni hajabu
sina mwili tena
niko sawa pepo
mimi maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
nanyesha kama mvua
naruka kama ndege
nacheka kama mtoto
ahiya, mama ahiya
sina haja, ya kitu
mimi napona
i′m free (ah_ah) kama maji (ah_ah)
natembea mpaka katika pori
mimi, mimi maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
naota kama maua
napita kama nyota
nawaka kama jua
pole pole mama
wakati w_ngu umefika, mimi napona
i’m free, kama hewa
naingia mpaka fasi inapenda
mimi, ni maskini
sina mali, mali, sina deni
mali yangu baba
naona kama macho
nawaka kama moto
nalia kama ngoma
i′m free (oo_oo) kama maji (oo_oo)
natembea mpaka katika pori
kama hewa, kama macho, kama nyota, kama maji
kama mimi leo, mimi napona
i’m free (kama hewa, kama macho)
i am free (kama nyota, kama maji)
kama mimi leo, mimi napona
ahiya (ah_ah) mama ahiya (ah_ah)
sina mali, mungu, sina deni
كلمات أغنية عشوائية
- michael feinstein - whatever happened to melody كلمات أغنية
- faouzia - 100 band-aids كلمات أغنية
- aspova - sırtımda كلمات أغنية
- vsava - foolishly كلمات أغنية
- lennon stella - goodnight (dyrtybryd remix) كلمات أغنية
- stu26 - flyin por españa كلمات أغنية
- 49 burning condors - marigold lake كلمات أغنية
- mc penis - planetary vision كلمات أغنية
- dominic unreleased - dolphin كلمات أغنية
- vilson - we get it كلمات أغنية