
keveni venice , mk - "zungusha" كلمات أغنية
sungusha kama vile unafua mama unapika basi nije kupakua zungusha kwenye choo cha mabua ila chunga mchanga usiingie kitumbua zungusha! kisha ulegeze nyonga hiyo zungusha! unitoneshe kidonda hiyo zungusha! ona nyoka anaconda hiyo zungusha! ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo ai katoto, motomoto moto moto, moto moto aii baikoko, moto moto joto joto, moto moto kamata ukuta shuka mpaka chini take it down zungusha kamata nakupa nikishika nyundo nipasue kichupa oweoo weooo kina dada mko wapi? oweoo weooo basi muingie kati zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! kimbau mbau, tukunyema pilau lau, nipe supu tena mashau shau kana sinema yaani kanakula ndizi bila k-menya basi nipe za kichina eeh, msamba fanya kama bruce lee, msamba viuno vya kusigina eeh, msamba fanya kama jet li unavyocheza kwenye chaki nataka hakataki na chumbani varangati kwaito na pembeni katikati nakatachi bila wasi kamedata na wasafi tight-ooh ai katoto, motomoto moto moto, moto moto aii baikoko, moto moto joto joto, moto moto kamata ukuta shuka mpaka chini take it down zungusha kamata nakupa nikishika nyundo nipasue kichupa oweoo weooo kina dada mko wapi? oweoo weooo basi muingie kati zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! shungusha! zungusha! zungusha! zungusha! zungusha! tingisha, tingisha
كلمات أغنية عشوائية
- fer perozo - the process كلمات أغنية
- falcom sound team jdk - dive into your fate كلمات أغنية
- banda la bufadora - el diario de un corazon roto كلمات أغنية
- jay rick$ - fight for كلمات أغنية
- luyd pinho - shivers كلمات أغنية
- taylor swift - the outside (taylor's version) كلمات أغنية
- troy cassar-daley - christmas for cowboys كلمات أغنية
- megah beatz - upside down people كلمات أغنية
- lilxyq - vibes lori vibes كلمات أغنية
- облако (oblako) - бассейн (swimming pool) كلمات أغنية