
ken demacra - nipee كلمات أغنية
ken demacra
nipee lyrics
intro
dollar boy oyeeeh
(bridge)
tunaenda na moto (aaaah)
pozeee coco
mbwa koko (aaaah)
mapenzi njonjo
pasua popo (aaaah)
naija loco
wizkid soco (aaaah)
sukari amoko
(verse 1)
amenivunja mguu aaah siwezi tembea
ameniwekea apilo
mpaka kwa ndizi mbichi sijaelewa
make a stop
kama mapenzi ni sumu
naweza kuwa mwalimu
tena wa mguu mmmh
sura ya mama
na kitambi cha unichanganya (aaaah)
unatoka milenda
mbio zako nyumbu unifunga (aaaaaah)
kiberiti cha kifaru
kwa jiko unaniwasha (aaaaaah)
vita vimechacha
mstuni pete unanivalisha (aaaaaah)
chipo ya viazi
ama ya popo gani tamu (aaaaaah)
(chorus)
sasa nipee
nakuomba nipee×2
kanipa kanipa (sawa)
nakuomba nipee×2
(verse 2)
nimetoka congo nimekuja na kamongo
kwa pan piga fry kwa sufuria weka supu
nipakulie juu ya meza nimeze kichatuchatu
i don’t know how to explain this
nimejaribu kwa taratibu, bado nimeshidwa
do you know odhis
wengine wanaiita nasibu, obado sio dawa
(bridge)
tuenda na moto (aaaah)
pozeee coco
mbwa koko (aaaah)
mapenzi njonjo
pasua popo (aaaah)
naija loco
wizkid soco (aaaah)
sukari amoko
(chorus)
sasa nipee
nakuomba nipee×2
kanipa kanipa
كلمات أغنية عشوائية
- firmament - spiritual pilgrimage كلمات أغنية
- marisa maino - jenny كلمات أغنية
- n.r.f.b. - kill mainstream كلمات أغنية
- slim dev - loadz كلمات أغنية
- kid rock - never enough كلمات أغنية
- kobo - fucked up كلمات أغنية
- chris laurent - catch me if you can كلمات أغنية
- taylor kade - love you like that كلمات أغنية
- bakers eddy - fmo كلمات أغنية
- edo saiya - gestern كلمات أغنية