kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ken demacra - machachari كلمات الأغنية

Loading...

ken demacra
machachari lyrics
intro
dollar boy oyeeeh

mimi ni dance sio toy cleaner
natibu ugonjwa k_mbe ni cancer
walichapa mwilimu kingereza k_mbe ni teacher
shetani hawajavamiwa juma pili kwa pastor
mmmh

mschana mwebamba
anataka soda ikimbie mpaka magadi
ndo nikimpata kando ya kona
asimame kijeshi mmmh
mama hutoka pemba
naona anakula mandizi
dem mrembo hatoki
ndani ya gari aringe kama tausi

sasa sina neno acha nikae kimia
waleti imejaa nafikiria maelufu k_mbe ni mamia
kelele kwa darasa mitihani ikikuja ashiki mkia
akipotea mwalimu na pastor wanaonionyesha njia

ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
kijana machachari
ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
nikutafute mombasa nikupate naishava oyaah
usiweke pilipili mdomo utawasha oyaah
kufunga mabao za kona fanya mazoezi kama
maradona oyaah
baby piga deki usiseme unapitisha oyaah
safari ni mbali ntaamuka mapema oyaah
hawezi kula suk_ma tupu akatafutе spinach
oyaah

sasa sina neno acha nikae kimia
waleti imеjaa nafikiria maelufu k_mbe ni mamia
kelele kwa darasa mitihani ikikuja ashiki mkia
akipotea mwalimu na pastor wanaonionyesha njia

ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
kijana machachari
ooooh machachari
huyu ndio machachari
ooooh machachari
huyu ndio machachari
eeeeeh machachari

sasa nikuambie cymo vile nang’ang’ania oyaah
mateso bwana chingu nzima siwezi oyaah
niamuke saaa tano tena niamuke saaa k_mi oyaah
nitafune ka miraa kisha waitee jeshi oyaah
baby don’t lie you go make me crazy oyaah
_n_lala fofofo alimwaga udande sawa
ako na shida pressure yake hupanda sawa
kuende gyma daily nguvu ufikia punda sawa
wivu kitu mbaya kila siku kwa kibanda sawa
miaka k_mi bado hana kitanda sawa

sasa sina neno acha nikae kimia
waleti imejaa nafikiria maelufu k_mbe ni mamia
kelele kwa darasa mitihani ikikuja ashiki mkia
akipotea mwalimu na pastor wanaonionyesha njia

ooooh machachari
huyu ndio machachari
eeeeeh machachari
kijana machachari

كلمات أغنية عشوائية

كلمات الأغاني الشهيرة

Loading...