
ken demacra - hallelujah كلمات أغنية
ken demacra
hallelujah lyrics
intro
dollar boy oyeeeh
verse 1
nimekuwa nikiomba mola
siku moja nikuwe na maisha mavuri
kazi tunafanya hours zote za day
mawazo ya mengi tumeskia
zingine mabaya other mazuri
na unajua kenny i go for the best
push push unachoweza watoto wasijeteseka
wenzangu wanaishi kibra wanajaribu kila kitu
kama unawezakujitolea watu wengine wenye utu
uuruma ingie ndani yenu maisha mazuri tuaombea
chorus
hallelujah hallelujah
never never never
hallelujah hallelujah
never never never
verse 2
nimeingiliwa na uchungu
pesa ya maskini wanaiba
kitambo kufura mbele intestines yao mafuta
chini kwa chini hatuchoki
chini kwa chini tualia haki
chini kwa chini hatuchoki
chini kwa chini tualia haki
chini kwa chini hatuchoki
moss moss tuenda biashara vidogo nimeanza
ukitembea mtaani mimi ndio mama mboga
kidogo kidogo ujaza kibaba
maisha ya starehe ni ya kesho
jiamini mwenyewe ushauri kali isipite
mbele kwa mbele tuasherekea
utumaini tukuwe nayo
life ya kesho niya badaaye
wakubwa w_n_lewa
pesi zetu wamenyakulia
piny piny tunakesha sato sunday
machozi unalia mtungi mzima unajaza
na bado bado unateseka
njia ya kwanza ikichomeka tafuta ya pili
nielewe vizuri destination ya pili itafika
chorus
hallelujah hallelujah hallelujah
never never never
hallelujah
never never never
dollar boy………
كلمات أغنية عشوائية
- tvli - богоподобно (bogopodobno) كلمات أغنية
- seyté - niente كلمات أغنية
- almighty u-sorcerer - mona lisa كلمات أغنية
- joey feek - like a rodeo كلمات أغنية
- the rapfest cipher series - series 7 كلمات أغنية
- aaron watkins - chasing after you كلمات أغنية
- the gardiner sisters - stay كلمات أغنية
- take a mic - terrain كلمات أغنية
- gimpson - mój doom, moją twierdzą كلمات أغنية
- eza - high & low كلمات أغنية