ken demacra - corona virus lyrics
ken demacra
corona lyrics
intro dollar boy oyeeeh
(verse 1)
huu ugonjwa wa corona inatuuwa
itabidii tufiche sura
duniani hakuna dawa mkutano tupige kura
nichemshe miti shamba
wanasayansi wote mpaka madaktari
wametafuta dawa bado hakuna
nichanganye tangawizi na achari
na solution bado hakuna
kila siku kwenye runinga
kwa mawaitha ya wanafya
eti ninawe mikono na sabuni
kusanitize mkono avoid umati
tukifanya hizi zote wakenya w_ngu
tutazuia maambukizi ya corona
(pre chorus)
mungu wetu anayetupenda kwa shida na kwa furaha
tuokowe kwa janga la corona
(chorus)
usizingi hatulali eti juu ya
corona eeeeh corona
eeeeeh corona tuzuie corona
maambukizi ya corona aaaah
(verse 2)
tena wafanya biashara
kutumia ndege hawaendi
mauwa juzi yaliaribika
hasara kubwa wameenda
churchill hatuendi hakuna kucheka
mchezo wa kandanda sikuhizi hawafanyi
mimi nataka niwambie sikia mawaitha ya gova
kuwa makini hata na chukula unachomeza
taifa imeingiliwa na janga (janga la corona)
inaweza kuwa sisi ni sina (ooooh sisi sina)
kutembea usiku sema hapana (oooh hapana)
(pre_chorus)
mungu wetu anayetupenda kwa shida na kwa furaha
tuokowe kwa janga la corona
(chorus)
usizingi hatulali eti juu ya
corona oooooh corona eeeeh corona
tuzuie corona oooooh corona
maambukizi ya corona eeeeh corona
(conclusion)
ukitoka kwa nyumba vaaa maski
sio wakati wa kutafuta kiki
mademu kata kucha
situation kwote kwote k_mechacha
dollar boy oyeeeh
كلمات أغنية عشوائية
- marc martel - perfect world lyrics
- snoozer - big howl lyrics
- unidots - 舗道に咲いた花 (flowers on the pavement) lyrics
- jovan perišić - sunce se radja lyrics
- kazuiqe - scythe of vyse lyrics
- kyle - do not answer lyrics
- tommy saint - wassup freestyle lyrics
- portia fading - thinking about the name lyrics
- xentrix - spit coin lyrics
- tish hyman - lauryn hill vibes lyrics