kelechi africana - tulia lyrics
[verse 1]
mapenzi ya hasara roho
unapo penda paso dhamana
wengi vilio vya ku achwa aaah
nafsi nani suta
why niko single
waza kupenda ila na hofia aaa
kuna kabinti kamoja
kame ziteka hisia zangu
moyo ngoja
ila hisia naumiamwenzangu
ata mimi nampenda
ila je atabaki nami
naomba mola asije enda
yeye atabaki nami
[chorus]
tulia moyo
upendo wasio na imani
tulia moyo
aaah moyo w-ngu tulia
tulia moyo upendo upendo hee…. hee
tulia moyo
aaah moyo w-ngu tulia aaah
hee hee eeee
[verse 2]
wengi wao wana lalama
mapenzi yana umiza
ooh na kazana nani nimpende nani niwe nayeee
mapenzi biashara ivo una nyumba au una hela aah
sina cha maana vipi nitawazi ukapera aah
kama utani penda ni pende uwezi niacha tu roho yangu
sina haja ku lalama nta mwomba mola nami ani umbie w-ngu
ila kuna kale kabinti kanako ni poza roho
mola naomba kalinde kasije ni toa roho
ila kuna kale kabinti kanako ni poza roho
mola naomba ahee ayee ayee
[chorus]
tulia moyo
upendo wasio na imani
tulia moyo
aaah aah moyo w-ngu tulia
tulia moyo
upendo upendo hee…hee
tulia moyo
aah moyo w-ngu tulia
كلمات أغنية عشوائية
- hara - nostalgie lyrics
- curved air - jumbo lyrics
- hara - mai frumoasa lyrics
- killah priest - intro (blackball me) lyrics
- hara - care pe care lyrics
- hara - niciodata lyrics
- hara - mi-e dor de tine lyrics
- celia cruz - la vida es un carneval lyrics
- celia cruz - hay que empezar otra vez lyrics
- bad english - make love last lyrics