kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kayumba - nichum lyrics

Loading...

[intro]
basi nichum, chum, ni kiss

ah, (?)
mm_mmh
[(maxmyzo)]

[verse 1]
mwenzio karoho kangu kapo juu, juu, juu
usinifanye presha ikapanda juu
(juu, juu, juu)
eh
(presha ikapanda juu)
umenifanya kama zuzu
kwako sisemi (zu, zu, zu, zu)
aah, aah…
mama’ ka moyo kangu kameumbwa na nyama
mwenzio ka mwili kangu katetema
(te, te, te, te)
wewe

[pre_chorus]
umenipendeza, my dear (ah)
nami nakupendeza wewe (ah, ah)
asije kitorondo akaingia (ah)
utafanya huk_mu nipewe
umenipendeza, my dear (ah)
nami nakupendeza wewe (ah, ah)
asije kitorondo akaingia (ah)
utafanya huk_mu nipewe
[chorus]
basi nichum, chum, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
iye
mwaah!
ah, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
mwaah!
nichum, chum, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
iye (iye)
mwaah!
oh, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
hey
nichum, chum
nichum, baby
niwе
mmm

[verse 2]
ongeza, ongeza kidogo (aya)
kwa miuno ya paka chongo (aya)
mi sikujazi ubongo
wewе leo mpaka mtondo
mungu kakuumba kwa udongo
mi mlemavu wewe ndio magongo
wape, wape visogo
wenye vi tabia vya man fongo
iye, iye, iye
[hook]
tunafanana (na, na, na, na)
tunafanana
twabandana ka banana

[pre_chorus]
umenipendeza, my dear (ah)
nami nakupendeza wewe (ah, ah)
asije kitorondo akaingia (ah)
utafanya huk_mu nipewe
umenipendeza, my dear (ah)
nami nakupendeza wewe (ah, ah)
asije kitorondo akaingia (ah)
utafanya huk_mu nipewe

[chorus]
basi nichum, chum, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
iye
mwaah!
ah, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
mwaah!
nichum, chum, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
iye (iye)
mwaah!
oh, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
[chorus repeat]
hey
basi nichum, chum, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
mwaah!
ah, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
mwaah!
nichum, chum, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
mwaah!
oh, ni kiss
(mwaah, mwaah, mwaah, mwaah)
hey
nichum, chum

(instrumentals)

كلمات أغنية عشوائية

اهم الاغاني لهذا الاسبوع

Loading...