
kayumba - maumivu كلمات أغنية
mmh (moko mooko)
kidume ninasuk_ma ukuta na nguvu yangu si
sawaa, najipa imani nimefika aah k_mbe mi kwake chawaa
kidume ninasuk_ma ukuta na nguvu yangu si sawaa,
najipa imani nimefika aah k_mbe mi kwake chawaaaah
bola ntafute chocholo yangu ya pekeeeeh vya watu nisijevunjwa mbavu
nami mnyongeeeh kushea sio lengo langu
nisamehee, natetea hisia zangu nisipoteee
nilijua wanipendaaa nami
nakupenda sanaa aaaah
tena nimesalenda zimenishinda zako tamaa
nilijua wanipendaaa nami
nakupenda sanaa aaaah
tena nimesalenda zimenishinda zako tamaa
asante kwa maumivu
ayaa aaa ayaa
eh huna huruma
ayaa aaa ayaa
huna hurumaaaaa
mama mama mama mamaaaama
ayaa aaa ayaa
(asante kwamau, kwamau, kwamau,)
tabia kama dini,
kabila huwezi badilisha umezoeaaa akaa nakupisha nimejichokeaaaa
umenifanya lofaa,
siwezi lala bila kukuona na
nikaokokaaaa kwa dini yako nisije kukukosa
ulinifanya lofaaa,
siwezi lalaa bila kukuona na nikaokoka kwa dini yako nisije kukukosa
nilijua wanipenda,
nami nakupenda sana
ayaa aaa ayaa
ila nimesalenda sipendi shida zako tamaaa
nami nakupenda sana
aya aaa ayaa
ila nimesalenda, sipendi shida zako tamaa
asante kwa maumivu
ayaa aaa ayaa
huna huruma
aya aaa ayaa
huna huruma
aya aaa ayaaa
asante kwa maumivu
aya aaa ayaa
aya aaa ayaa
eeh eeh
كلمات أغنية عشوائية
- zoogz rift - conditions for employment كلمات أغنية
- đình dũng - nợ tình كلمات أغنية
- red sector 1 - dr. mad كلمات أغنية
- robin schulz, rita ora & tiago pzk - i’ll be there (vip mix) كلمات أغنية
- catherine mcgrath - next new year كلمات أغنية
- mc yankoo & petar mitić - neka gori sve كلمات أغنية
- marxi marcello - celestial love كلمات أغنية
- feltz or f3ltzyy - always strapped كلمات أغنية
- poet shaf - kafila كلمات أغنية
- bardal - porcelana freestyle كلمات أغنية