kalimah.top
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

kay naksh – ndo basi tena كلمات اغاني

Loading...

nilikuamini nikakupa moyoo
uwe akilini uniweke kwenye moyo
k_mbe hayawani una ulonayoo
ulichoamini nitakufa moyoo
kuna muda moyo w_ngu ulizama kwelii
sikujua mwisho w_ngu mapenzi kamariii
nimepata chaka langu ndio najivinjarii
natawala moyo w_ngu sitaki maswalii
wewe nisahau usinik_mbukeee
nimeshabadili namba bora uzifutee
ulinidharau kwa w_ngu upweke
ukajisahau tembo hashindwi mkonga wake
wewe ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
ndio baa ndio baa ndio basii tenaaaa
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae
limebaki jina jina aeehh limabaki jina na upendo sina
kamwambie sina khaja nae kamwambie sina shida nae

asiji fakharii asijifakharii
sio umbo wala sura vinavyotakiwaa
tena tafadhali mi sitaki sharii
kamwambie anikomee sitomrudiaa
aaaaa asijinadharii asijinadharii
ikiwa hana busara atajijutiaa
aaasijinadharii asijinadharii
ikiwa hana busara atajijutiaa
nimepata mwenzakooooh kashika nafasi yakooo
huliwezi huba zitoo mimi na nenepa mwenzakooooh