
kasiva mutua - huruma كلمات أغنية
(guitar intro)
mama nionee huruma nionee huruma
mungu nionee huruma nionee huruma
jamaa nionee huruma sio kwa ubaya
mama nionee huruma nionee huruma
mungu nionee huruma nionee huruma
jamaa nionee huruma sio kwa ubaya
haye hoya haye hoya haye hoya haye hoya
haye hoya haye hoya haye hoya haye hoya
haye hoya haye hoya haye hoya haye hoya
haye hoya haye hoya haye hoya haye hoya
nimekosa na naomba toba wewe mungu baba nisamehe
mambo ni mengi nimeyafanya
nimeyatenda kwa jina la maisha
na huu mzigo umenichosha nimesurrender
mie mwana wa hawa
hali yangu sio sawa ninaomba miujiza
niwe safi na niwe huru oh mulungu
ah sikati tamaa shukrani tu mi natoa
kwako baba wetu wa huruma baba hallelujah
mama nionee huruma nionee huruma
mungu nionee huruma nionee huruma
jamaa nionee huruma sio kwa ubaya
mama nionee huruma nionee huruma
mungu nionee huruma nionee huruma
jamaa nionee huruma sio kwa ubaya
(chant)
(guitar interlude)
nionee huruma nionee huruma sio kwa ubaya
(chant)
mama nionee huruma nionee huruma
mungu nionee huruma nionee huruma
jamaa nionee huruma sio kwa ubaya
mama nionee huruma nionee huruma
mungu nionee huruma nionee huruma
jamaa nionee huruma sio kwa ubaya
(musical interlude)
كلمات أغنية عشوائية
- karina moreno - ella كلمات أغنية
- paul anka - non è finita كلمات أغنية
- líquida - el miedo كلمات أغنية
- khánh ly - một lần cuối كلمات أغنية
- dean connor - don't hold back كلمات أغنية
- costa stunner - suepreso كلمات أغنية
- emkal - rois et reines كلمات أغنية
- matilda cole - again كلمات أغنية
- swans - ebbing كلمات أغنية
- saramalacara - stay (cover)* كلمات أغنية